Features SpringSoko Delivery
Hii App ni kwa ajili ya kutumika na Muuzaji na Msafirishaji kwa bidhaa zilizoagizwa kwenye mfumo wa SpringSoko.
Muuzaji ataona maagizo yote yanayotakiwa kusafirishwa kwenye App hii.
Ataona pia wasafirishaji wote waliopo tayari kwa usafirishaji.
Pia ataweza kuwasiliana na wateja wake na wasafirishaji kupitia jukwa la gumzo lilopo.
Kwa kila agizo, muuzaji atakabidhi bidhaa kwa msafirishaji kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja.
Msafirishaji atapokea bidhaa za agizo husika na kuanza kupeleka kwa mteja.
Kwa kupitia ramani ya Google, msafirishaji ataonekana na mteja husika jinsi anavyosafirisha bidhaa hiyo.
Msafirishaji akifika kwa mteja, mteja atataja namba ya siri kuonyesha kupokea kwa bidhaa hiyo.
Msafirishaji ataingiza namba hiyo ya siri kwenye App, na bidhaa itaonekena imepokelewa kwenye mfumo wa SpringSoko.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the SpringSoko Delivery in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above